DOWNLOAD ALEWA BY LULU DIVA, S2KIZZY - MP3, MP4 & LYRICS

Alewa Lyrics

(S2KIZZY baby...)

Mapenzi  yanafanya  nidate
Nishike moyoni niweke
Haha nyang’a  niyateke teke
Niteke na mimi niweke
Unenigusa wivu wabaya
Vishakunaku roho mbaya
Maneno mengi bila haya
Oooh

Ananipaga vitu tofauti kabisa mi  nalewa
Wala siendi  Kokote akigusa nanasa  my only one
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi  nalewa
Wala siendi  Kokote akigusa nanasa  my only one

Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa…

Kama ni moto moto moto moto
Umesha kolea
Amenikosha mtoto joto  joto
Naugulia
Basi niruhusu  baba shabani
Twende nyumbani
Basi niruhusu nipe kampani
Tuwe kampani
(S2KIZZY baby)

Ananipaga vitu tofauti kabisa mi  nalewa
Wala siendi  Kokote akigusa nanasa my only one
Ananipaga vitu tofauti kabisa mi  nalewa
Wala siendi  Kokote akigusa nanasa my only one

Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa
Alewa, alewa… Alewa, alewa…

Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya
Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya
Msogele, msogele... Msogele, msogele... aya

(S2KIZZY baby)