DOWNLOAD IMANI BY LYDIAH MAINA - MP3, MP4 & LYRICS

Imani Lyrics

Ehhhhh! Neno lako ni upanga
Ukatao Kuwili (Ukatao kuwili)
Usemapo jambo we si
Mwanadamu ohh ugairi
Neno hili ni roho na uzima (Yeah yeah) 
Neno hili ni roho na uzima

Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word

Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word

Neno, huchambua nia na fikira
Za mioyo yote, mioyo yote
Najitahidi kupata kibali chako
Sioni haya kwa kazi yako
Nikifundishwa na Kufundisha Neno lako
Najitahidi kupata kibali chako kwa Neno lako

Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word

Nina imani ndani yako
Nina amini Neno lako
I am confident in you
I am confident in your word