DOWNLOAD PEPEA BY LYNN, PRINCE AMIGO - MP3, MP4 & LYRICS

Pepea Lyrics

Yaani daddy mwenzako nishafika safari
Daddy mimi nimezamaga kweli
Daddy mwenzako nishafika safari
Daddy mimi nimezamaga kweli

Yaani sipepesi macho sitazami kando
Nishafika kikomo
Kwako nanata nanata 
Najing'ata ng'ata nimeshapata somo

Si beiby unikamate, nishike unipakate
Yawatoke mate, eeh eeh
Nisafishe nitakate, tope nisinate
Yawatoke mate, eeh eeh

Oooh beiby, linapepea
Penzi letu, pepea
Nah nah nah, linapepea
Maana kuna watu wivu wanaona

Oooh beiby, linapepea
Penzi letu, pepea
Wanapigana, linapepea
Yaani kuna watu wivu wanaona

Binadamu, hawasomeki
Binadamu, hawaeleweki
Si majini, si mashetwani
Si wanyama, si afiriti
Si fisadi, hawana maana

Wewe ndo roho yangu mie mami
Nakupenda beiby wewe

Si beiby unikamate, nishike unipakate
Yawatoke mate, eeh eeh
Nisafishe nitakate, tope nisinate
Yawatoke mate, eeh eeh

Oooh beiby, linapepea
Penzi letu, pepea
Nah nah nah, linapepea
Maana kuna watu wivu wanaona

Oooh beiby, linapepea
Penzi letu, pepea
Wanapigana, linapepea
Yaani kuna watu wivu wanaona

Zungusha nione nyonga leo(Nitepe tepe)
Kibonge kwa chikonda leo(Nitepe tepe)
Kibebwe funga na kanda leo(Nitepe tepe)
Sikatiki na shanga leo(Nitepe tepe)

Twende kachiri(Saga)
Mbingiri(Mwaga)
Makiri mwage(Nitepe tepe)

Twende kachiri(Saga)
Mbingiri(Mwaga)
Makiri mwage

Waone leo, waonee...