DOWNLOAD CHAFU BY LYYN - MP3, MP4 & LYRICS

Chafu Lyrics

Blacq
Nishapendaga nikachukia
Nishakula bata adi kuku wakaona donge
Nishajengaga na kubomoa
Zile Hayawi hayawi utaona

Ndani joto nje jua
Na ukiona giza totoro Washaukata
Nyie makoko msichojua
Mie nainama

[CHORUS]
Chafu ! Chafu !
Chafu ! Chafu !
Chafu tupa  na mkoka
Wakavipeleka shimoni
Hakifai tupa na mkoka
Wakavipeleka shimoni

[VERSE 2]
Nipe nipe
Nataka tena ulo nipa jana (unavimba)
Mbele nafanya yangu nyumba unachezea
Vile maji kujaa
Naudhika raha maji kubwa
Ndo ugeuzi wa mshumaa
Usipokomaa ndo unakufa

Maana ndani joto
Nje jua
Na ukiona giza totoro
Washaukata
Nyie makoko msichojua
Mie nainama

[CHORUS]
Chafu ! Chafu!
Chafu! Chafu!
Chafu tupa
Na mkoka
Wakavipeleka shimoni
Hakifai tupa na mkoka
Wakavipeleka shimoni

Ndani joto
Nje jua
Washaukata
Nyie makoko msichojua
Mie nainama

Chafu!  Chafu !
Chafu ! Chafu

Blacq beats