DOWNLOAD MTOTO WA DIANA BY M4J OFFICIAL - MP3, MP4 & LYRICS

Title Mtoto wa Diana
Artists M4J Official
Genres Gospel
Country Kenya

Mtoto wa Diana Lyrics

Mmm Oh ai oh ai
Pribengbeng
Hatuna bahati, hatuna bahati
Tumebaki na sibu!

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Injili umechafua
Ukatuacha kama tumeziba pua eeeh
Bahati umeshuta 
Umewakula kuku na vifaranga eeeh

Umejifanya mdosi
Injili nayo ukaifinyaa poziii eeeh
Umejifunua uchi
Mafeni wako wanaona unyamwezi eeh

Umejifanya mdosi (Transpose)
Injili nayo ukaifinyaa poziii eeeh
Umejifunua uchi
Mafeni wako wanaona Unyamwezi eeh

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Wasanii wa Gospel
Mumenyamaza munakaa ama puppet eeh
Warembo ndani ya basket
Hivi tukule tujifiche ndani ya blanket eeh

Mumejifanya mdosi 
Injili nayo mkaifinyaa poziii eeeh
Mumejifunua uchi
Mafeni wenu wanaona unyamwezi eeh

Mumejifanya mdosi 
Injili nayo mkaifinyaa poziii eeeh
Mumejifunua uchi
Mafeni wenu wanaona unyamwezi eeh

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Mtoto wa Dianaaa (Ooh noo)
Bayana bayana, hauna haya
Umejichanganyaa weeewee

Lord have mercy
Mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea 
Its your King one and only M4J Official
Kama kawa kama dawa
Baridi kama juice ya papaya mzee
Hauna haya umejichanganya....