DOWNLOAD ROHO YANGU BY MABESTE , MWAKA UTANJE - MP3, MP4 & LYRICS

Roho Yangu Lyrics

Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu

Natembea naanguka
Nachafuka najifuta
Nainuka naondoka mbele

Papi na ulinzi
Unanitunza unaniepusha na ushenzi
Huko nilipo OMG you set me free
I see eh I see

Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu

[Mwaka Utanje]
Au mwanadamu ameni attack na ukanipa relief
Nafuata vile tu we unataka nikule mi mbivu
Mi nataka maisha ya milele sio moto majivu
Mi siwezi njia mbili moja kulia we ndo jibu

I see people live positive negative
Tunaface matatizo tunapambana tumeachieve
Umeset me free as see ever see
Dunia yangu umenipa am free now now

Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu

Ni wewe, u mwema
Wewe, u mwema

Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi ulivyo mkuu