DOWNLOAD SAMPLE BY MAGIX ENGA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Sample
Artists Magix Enga
Genres Rap
Country Kenya

Sample Lyrics

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando

Nikawasha moto juzi
Wakadai ati ni kiki
Ngeus wako pigwa miti
Ikabaki jo ni kiki

Mi ni beat king sick(Bad)
Wan talk have a sit
TID nikuchome jo kimoja
Ndo ufunge kimudomo

Mi ni odi mi ni gangsta
Sitishwi na vitu ndogo
Toto niko na mbogi ya Njenga
Buda ushai jipata kwa thena(Ogopa)
Ushaijipata unatukana beat king
Anakujibu na deng'a

Juzi nimepitia IG 
Nimeona macomments za Watanzania manze
Haufai kusample beat ya Magix Enga man
Mtabonga huko mkiwa huko kwenu
But hapa kwetu jo, sihitaji ata Mutua jo

Nitawa Twa! Twa!

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando

Huwezi ukabishana jo na badman
Get to know that man before ubonge sana
Beat king killer niko job niko wera nasaka mkwanja(Besha)
Olamide chunga bana usijipate jo kwa blunder

Oga vizuri(Ng'ara)
Toka na Konde Gang(Rraaah!)
Niwapeleke kadinner 
Mkule mnone man

Hii sio diss ni message ukipenda jo kusample
Ju niko na banger kibao, zinatoka mkisample
Niko na mafothe kibao chunga usije jo kusample

Before usample sample
Mpaka ukaulize bana
Beat King enda ukaulize bana
Sample sample sample, enda ukaulize bana
Enda ukaulize bana

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando

Tumechoka na kusample 
Hio utoto weka kwako
Tumechoka na kupangwa
Hizo para weka kando

Hapa ni Kenya si Ng'ambo
Kimdomo na utamangwa
Hapa ni ngori ni diambo
Vaa skirt kaa kando