DOWNLOAD DIFFERENT BY MANIO - MP3, MP4 & LYRICS

Title Different
Artists Manio
Genres Afropop
Country World

Different Lyrics

Ntafanya nini kwa mda huu
Umetupata ghafla bin vuu
Kabla tushinde haya virusi
Nitajifunza nini kikuu

Hello Fellow, Uko area gani,
Uko sawa umenawa Sanitizing
Na mathe je! Na ule senje mlami
Naskia eti alirudi toka Pari yiyiyi!

Nakujulia hali tu
Sijakuanga nimekusahau
Kila kitu hapa ni hitilafu
Buda halafu!
But stop! Ngoja
Nilikuwa pia na kahoja
Kweli hali tuko itaisha
Nasikia tu nimeboeka
Uuuuuu!

Ntafanya nini kwa mda huu
Umetupata ghafla bin vuu
Kabla tushinde haya virusi
Nitajifunza nini kikuu

Think Different
Think Differently
Think twice different
Homie think Different
Differentiate yourself
Moja kati ya maelfu

Sina form sina yengs sina party
Halafu kuna vile ganji haipatikani
Nina stress, niko home quarantini
Maybe gava itaingilia kati
But stop hold up
Dunia nzima sasa iko pull-op
Nikikubali eti niwe disturbed
Si nitawachwa nyuma iki turn-up
Turn-up turn-up

Ntafanya nini kwa mda huu
Umetupata ghafla bin vuu
Kabla tushinde haya virusi
Nitajifunza nini kikuu

Think Different,
Think Differently,
Think twice different
Homie think Different
Differentiate yourself
Moja kati ya maelfu

Watu wamegeuka mabully (Bully)
Mabully mtandaoni (Oni)
Kila mtu sasa ana maoni (Oni)
Hatuoni tunafaa badili (Dili)

Think Different
Think Differently
Think twice different
Homie think Different
Differentiate yourself
Moja kati ya maelfu