DOWNLOAD WAHENGA BY MARIOO, MSAMI - MP3, MP4 & LYRICS

Wahenga Lyrics

Chanda chema uvishwa pete baby
Nipenda nikupende tupendane
Kimfaacho mtu chake baby
Mpaka ufe nife tuzikane
Milima tupande mabonde tushuke
Baridi tugande na joto tufuke
Tuishi kwenye raha, msoto na karaha
Bata, majeraha
Na mficha maradhi kifo
We sema kama nakukwaza
Pia domo kuwa wazi mwiko
Kwa maana utakuwa kipaza
Hila sio maneno yangu

Walisema zamani
Wahenga henga
Wahenga henga
Wahenga henga
Walisema zamani
Wahenga henga
Wahenga henga
Wahenga henga

Asa baby shika kule
Ndombolo sijiwezi konga roho
Nipake mawese
Baby baby woo, waue
Ndombolo sijiwezi konga roho
Nipake mawese

Husiache mbachao kwa msala upitao
Vitu vidogo visiku tetemeshe
Ukatamani bugati mi nina corolla
Husiniache mbachao tu bila kikao
Ukanipa kisogo mi unihemeshe
Wakakuficha masaki nikadolola
Acha nikukunje mbichi
Nikupe mbivu na mbichi
Yote makavu mabichi
Tuvikwepe visiki
Na mficha maradhi kifo
We sema kama nakukwaza
Pia domo kuwa wazi mwiko
Kwa maana utakuwa kipaza
Hila sio maneno yangu

Walisema zamani
Wahenga henga
Wahenga henga
Wahenga henga
Walisema zamani
Wahenga henga
Wahenga henga
Wahenga henga

Asa baby shika kule
Ndombolo sijiwezi konga roho
Nipake mawese
Baby baby woo, waue
Ndombolo sijiwezi konga roho
Nipake mawese