DOWNLOAD BOZEMBA BY MARIOO, SHETTA - MP3, MP4 & LYRICS

Bozemba Lyrics

(Kimambo on the beat)
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba

Leta bozemba hapa
Nilipakate nilitafune faster
Silagi kuku napenda bata
Sipendi usumbufu nazima data

Nauza madini nalinunua zigo
Eeh nalinunua zigo
Laini laini litoto la ki Digo
Eeh eeh toto la ki Digo

Nalisha maini nasafisha figo
Eeh nasafisha figo
Yaani ye na mimi 
Punda na mzigo (Punda na mzigo)

Nataka la kizaramo (Bozemba)
La kizigua (Bozemba)
Twende la kimakonde (Bozemba)
Nipe nipe nipe nipe

La kichaga ee (Bozemba)
La kisukuma (Bozemba)
La kinyakiu (Bozemba)
Nipe nipe nipe nipe

Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba

[Marioo]
Leo sivitaki vimbau mbau (Hallo)
Leta mizogo minyau nyau (Hallo)
Nyama nyama sio kau kau (Hallo)
Harakisha vinau nau (Mateka)

Wakisaula (Mateka)
Ah wewe wananicharura (Mateka)
Ah ri man kaula (Mateka)
Mi najiua

Nauza madini nalinunua zigo
Eeh nalinunua zigo
Laini laini litoto la ki Digo
Eeh eeh toto la ki Digo

Nipate la kizaramo (Bozemba)
La kimatombwi (Bozemba)
La Kingoni (Bozemba)
Anipe anipe anipe

Nipate la kinyaturu (Bozemba)
La kigogo (Bozemba)
Basi la kinyamwezi (Bozemba)
Anipe anipe anipe

Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba
Bozemba, Bozemba

Mateka, mateka 
Mateka, mateka
Mateka, mateka
Mateka, mateka