DOWNLOAD UNANIKOSHA BY MARIOO - MP3, MP4 & LYRICS

Unanikosha Lyrics

(Mocco)

Mmh aah weka utam my lady
Kabla hakujakucha my lady
Mmmh aah nahisi nadedi
Ukisimama kwa ukuta my lady

Aah nahisi joto sio joto baridi sio baridi
Mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji

Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini
Beiby lako timwili timbwili la kijini
Mmmh aah aaah

We ndo unikosha
We ndo unanikosha(Aah aah umenikaa)
We ndo unanikosha(Mmh aah unanikaa)
We ndo unanikosha

Baby nipe tena kimoko 
Kisheti ninywe na chai
Wa kusela kusema wanoko
Nipetii niwe nishai

Bila wewe lazizi nahisi ningehenyeka sana
Nataka nikutoe beiby kwa mpaka bana
Ila wewe lazizi kueneka bana
Nataka nikutoe beiby mmh

Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini
Beiby lako timwili timbwili la kijini
Mmmh aah aaah

We ndo unikosha
We ndo unanikosha(Aah aah umenikaa)
We ndo unanikosha(Mmh aah unanikaa)
We ndo unanikosha

Aah niko nyuma naiokota
Dondosha mmh aah dondosha
Ukizima naikokota
Dondosha mmh aah dondosha

Fanya kama kuisokota
Dondosha aah aah dondosha
Mbona kama inatokota
Dondosha, dondosha