DOWNLOAD NI SIKU KUU BY MARTHA MWAIPAJA - MP3, MP4 & LYRICS

Ni Siku Kuu Lyrics

Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi
Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi

Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu
Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu

Hukesha na kuomba tu
Ameniongoza miguu
Suku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu