DOWNLOAD ATARAJESHA BY MARY KOI - MP3, MP4 & LYRICS

Title Atarajesha
Artists Mary Koi
Genres Gospel
Country Kenya

Atarajesha Lyrics

[CHORUS]
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote

Alichoahidi, atatenda
Atarejesha yote, yaliyopotea
Asubuhi yaja, giza haimo tena
Kwa sababu yeye, ndiye Mungu
Yeye ndiye, mwanzo hadi mwisho
Yeye ndiye, Alpha na Omega

[CHORUS]
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote

Usife moyo, usiogope
‘nakupenda, tena anakujali
Asubuhi yaja, giza haimo tena
Kwa sababu yeye, ndiye Mungu
Yeye ndiye, mwanzo hadi mwisho
Yeye ndiye, Alpha na Omega

[CHORUS]
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote
Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote

Hakuna jambo lolote
Lisilowezekana na Mungu
Yeye ndiye anaweza
Mambo yote

Katika maisha yako yeye anaweza, mambo yote
Katika ndoa yako yeye anaweza, mambo yote
Hata masomo yako yeye anaweza, mambo yote
Mambo yote