DOWNLOAD LALA SALAMA BY MASHMWANA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Lala Salama
Artists Mashmwana
Genres Gospel
Country Kenya

Lala Salama Lyrics

Salama aah, salama aah
Salama aah, salama aah
Salama aah, salama aah
Salama aah, salama aah

Naomba uwepo wako japo kidogo
Nawaza nawaza kama litaisha hili ndoto
Mwenzako nakutafuta na mwenzangu sikuoni
Mawazo yako yamenijaa nahisi nimefika ukingoni

Si movie baba, umetuwacha wana
Mama analia sana, umemuacha mama
Si movie baba, umetuwacha wana
Mama analia sana, umemuacha mama

U salama, ulale salama
Ooh baba salama, ulale salama
Oooh salama, ulale salama
Oh baba salama, ulale salama

Sitakufa moyo maana niko na wewe Yahweh, Yahweh
Hata kwa machozi unabaki wewe Yahweh tu, Yahweh
Umekuwa baba, baba wa yatima
Umekuwa mume, mume wa wajane wote baba

Si movie baba, umetuwacha wana
Mama analia sana, umemuacha mama
Si movie baba, umetuwacha wana
Mama analia sana, umemuacha mama

U salama, ulale salama
Ooh baba salama, ulale salama
Oooh salama, ulale salama
Oh baba salama, ulale salama