DOWNLOAD NAKUTEGEMEA BY MASHMWANA, MR SEED - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nakutegemea
Artists Mashmwana Mr Seed
Genres Gospel
Country Kenya

Nakutegemea Lyrics

Mashmwana mapozi yo yo aya
Mr Seed Again (Starborn)
Seed again

(Alexis on the beat)

Milima na mabonde
Nimezunguka kote sijaona kama wewe aah
Walitaka nipotoke
Nikuache wewe nibaki mwenyewe aah

Ila ni wewe, Yesu nabaki na wewe 
Eeeh Baba ni wewe, Baba
Ila ni wewe, Yesu nabaki na wewe 
Eeeh Baba ni wewe, Baba

Umejawa na nehema, nehema
Nehema baba 
Umejawa na nehema, baba

Umejawa na rehema, rehema
Nehema baba 
Umejawa na rehema, baba
Rehema zako zanitosha

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh ah ah

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh Lord

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh ah ah

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh Lord

Nakutegemea wewe
Natazama mbele mbele eh eh
Hao wengine zao ni kelele lele

Oh Lord hata wakisema mimi unanipendaga
Unanipendaga
Kwa mawazo yako umeniwekaga
Ah umeniwekaga

Wewe ni yule yule
Wewe ni Yule yule baba
Wewe ni yule yule
Anayeona milele

Wewe ni yule yule
Wewe ni Yule yule baba
Wewe ni yule yule
Anayeona milele

Umejawa na nehema, nehema
Nehema baba 
Umejawa na nehema, baba

Umejawa na rehema, rehema
Nehema baba 
Umejawa na rehema, baba
Rehema zako zanitosha

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh ah ah

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh Lord

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh ah ah

Nakutegemea wewe
Nakutegemea wewe wewe wewe
Nakutegemea wewe wewe 
Oh Lord