DOWNLOAD NAKUJA BY MASTAR VK - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nakuja
Artists Mastar Vk
Genres Rap
Country Kenya

Nakuja Lyrics

Looku ni safi ka pamba
Nadunga mpaka najigamba
Na chaser makali na shada
Nanyanya ni ka najimada
Siku hizi ni ka mi ni nganya
Nafika kwa keja jo ka amenipanda
Diva umeshinda ukihanya
Ananikumba ni ka ananihanda

Heri niteke Akothee
Tupigwe mamboto tupoze
Nichachishe ndevu ka Rozee
Kajaba kazoze

Huwezi nipata majini
Nizame ati sa niko chini
Kachipo kabambe na chilli
Tunyanye ata ka ni kazini

Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Ni ka nina mbogi kwa lori
Safisha uepuke wanori

Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Ni ka nina mbogi kwa lori
Safisha uepuke wanori

Pesa itafanya ninone
Kagym alafu nishone
Buda anataka nisome
Ndo wanakijiji waone

Mboka inafanya nikose gethaa
Ya kupatana nikuchome
Na bado nasema jo sina gethaa
Ya kukushikla nikupone

Afande nafaa kikombe(Trophy)
Nipate ile baze ya vikombe
Mangoto ni kama za Quavo
Nabeba wasupa kwa Benzo
Mafala nawapa mahedi
Hadi siku hizi wao hudhani ni Kenzo

Mbosso imba na ngoso
Mistari ni ka za leso
Mangoko nateka kwa meso

Hii miti ni refu bado ni dawa
Mi ndo nilipima Adamu na Hawa
Mi sio mchafu mi nimenawa
Ugali ikikuja nafinya ka kawa
Cheki hujashawa buda una chawa
Ka zimeshika jo wacha madawa

Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Ni ka nina mbogi kwa lori
Safisha uepuke wanori

Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza hadi pori
Ni ka nina mbogi kwa lori
Safisha uepuke wanori