DOWNLOAD BINADAM BY MASTERPIECE KING - MP3, MP4 & LYRICS

Binadam Lyrics

(Teddy B)

Binadam wanashangaza sana binadam
Wameniweka kwenye corner bila plan
Imani kwao sina imerun down

Binadam wanashangaza sana binadam
Wameniweka kwenye corner bila plan
Imani kwao sina imerun down

Nijifiche kusini ama niende mitini
Nilale chini nifanye nini mimi?
Niende mjini, nirudi kijijini
Niwache dini nipambane na kiki

Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!
Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!

Oiyo, oh oiyo oh oh
Mina mina mi nasonga
Oiyo, oh oiyo oh oh
Mina mina mi nasonga

Oiyo, oh oiyo oh oh
Mina mina mi nasonga
Oiyo, oh oiyo oh oh
Mina mina mi nasonga

Come slowly, mi nakam slowly
Adi general umeniondolea ngori
Ata noma na mastress zikam crawling
Nikikneel mabaraka zinakam flowly

God you are badder dan
Bad vibes a come me huwa scatter dan
Bila we siwezi nakucheki you are the smarter man
Kwani what a gwan you de badder dan

You dey bad one
You dey God above yeah

Baba mi nakupenda (Nakupenda)
Mbele yako tu nasurender (Nasurender)
Asante kwa yote umetenda (Umetenda)
I do prayer me no pretender (Pretender)

Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!
Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!

Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!
Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!

Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!
Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!

Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!
Nilinde we, naomba unilinde we
Wamekuja kuniwinda wee, nilinde!