DOWNLOAD MZIGO BY MASTERPIECE KING, MR SEED - MP3, MP4 & LYRICS

Mzigo Lyrics

Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu aah
Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu eeh

Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu aah
Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu eeh

Niliona giza totoro
Mbona majanga yanifuate?
Nilidhani sitaona tomorrow 
Mbona shida inipate?
Niliona giza totoro eh
Nilidhani sitaona tomorrow oh

Why you always in a rush
Why you taking life so fast
Why you always in a rush
Why you taking life so fast

Why you always in a rush
Why you taking life so fast
Why you always in a rush
Why you taking life so fast

Napiga goti, napiga goti, mi nataka mwokozi
Napiga goti, napiga goti, mi nataka mwokozi
Napiga goti, napiga goti, mi nataka mwokozi
Napiga goti, napiga goti, mi nataka mwokozi

Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu aah
Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu eeh

Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu aah
Mzigo mzigo kwake Mungu mimi sio mzigo
Oh mzigo mzigo kwake Mungu eeh

Mola ningekwama katikati
Ila ukasema we ni kati
Mola ningekwama katikati
Ila ukasema we ni kati
Mola ningekwama katikati

Dunia imejaa matatizo, matatizo
Lakini unanipenda hivyo 