DOWNLOAD MAGUFULI BY MAUA SAMA - MP3, MP4 & LYRICS

Magufuli Lyrics

Magufuli tunaruhusu uongoze
Tulimwamini mwanzo ametufaa
Leo dhahiri, mambo yote bayana
Oooh magufuli, mtetezi wanyonge tunang'aa

Amani, kadumisha komesha mizozo
Oooh Magufuli, nakupa marks mia mia

Baba yetu asante
Umefanya uchumi upande 
Kama ruba tugande
Tuwe wote

Madini wenyewe tuyachimbe
Elimu bora watoto wapate
Kwa kweli Magufuli
I love you

Iokote! Moyo wangu kwa magufuli ameuchukua
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua
Iokote! Nitachagua maendeleo na mafanikio
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua

Madaraja ni nani atujengee(Ni Magufuli)
Kaboresha maji na umeme(Ni Magufuli)
Mwenye upendo na huruma tele(Ni Magufuli)
Uajasiri wa mali tumepata(Kitambulisho)

Anazingatia jinsia
Piga kazi mama Samia
Tanzania twajivunia
Kuwa na wewe

Huduma za afya ni bora
Airport inang'ara ng'ara
Bandari ziko juu milikama zote
Sifa zake tummwagie