DOWNLOAD NALEWA LEO BY MAUA SAMA, STAMINA - MP3, MP4 & LYRICS

Nalewa Leo Lyrics

Stamina mi mkali
Leo silewi ninakunywa kwa machale
Waite wa masaki waite wa Tandale
Waambie hatuli ugali maana wote tuna chale

Nina kibunda kwa hio fresh sina wasi
Na sio bill nalipa mpaka visasi
Ukinikuta counter kaa mbali we mbwiga
Maana mpaka pombe nalipa kwa namba nida

Tafuta hela wewe
Usijifanye unanijua
Unazingua mi mwenzako 
Hata vyoo unazimbua

Una akili wewe
Usijifanye unanijua
Kwenye mvua kwenye jua 
Napambana natusua

Kazi yako mfukoni pamba na ndimi
Ukipewa damu unataka upewe na kinga
Si tuna shida zetu tuskize zako kwanini?
Hebu waiter shusha bapa watu waunguze maini

Nataka nilewe mpaka mnibebe leo
Nasimama dede mpaka mnibebe leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo

Body ya kifisi na giza ngisi inaeleweka
Na nikienda ghetto huwa sifui naloweka
Kama ni pisi unaipa fix unaiteka
Yaani full makiss unaimix hadi inacheka

Wanaume, kuna demu ananiletea mawenge
Anasema siwezi game ati kisa amejaa mauzembe
Mwambieni sio kinyonge hapa samba tatu bila
Kila mechi hatrick huwa naondoka na mpira

Bumper to bumper yaani chuma kwa chuma
Hata akiingia chooni namfuata kwa nyuma
Bar zaidi twende ghetto nikute simba anacheza
Aki ya nani nitakula jicho mpaka libaki kengeza

Kazi yako mfukoni pamba na ndimi
Ukipewa damu unataka upewe na kinga
Si tuna shida zetu tuskize zako kwanini?
Hebu waiter shusha bapa watu waunguze maini

Nataka nilewe mpaka mnibebe leo
Nasimama dede mpaka mnibebe leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo
Eeeh...nalewa leo

Nataka nilewe mpaka mnibebe 
Nasimama dede mpaka mnibebe