DOWNLOAD MAZIGIZAGA BY MAYUNGA - MP3, MP4 & LYRICS

Mazigizaga Lyrics

Ooh yeah, ooh yeah yea
Mmmh yeyeyyeyeye
Oooh yeah

Mi navyokawazia 
Katanipa murder case wewe
Nami nakamia
Nimenasa sichomoki wewe

Kimo cha ngamia
Nikiweka sikukosi wewe
Wazee wa kudandia
Watupishe na mikosi wewe

Ooh akiwa nami 
Anavyoniongoza hata gizani
Nishafika milani mtoto chumbani
Mpaka mi namwota yeye, oooh yeye

Ashaweka ngao 
Kanipa vitamu nishatosha kiganjani
Wakuwazima bao
Nishakuwa timamu sina time na visamaki

Chochote anachotaka mimi kwangu sawa
Ashanichanganya na medulla yeah
Na tena ukinigusa mimi hali mbaya, oooh

Kwani naona mazigizaga
Naona mazigizaga(Everybody say)
Ninaona mazigizaga
Ayee, mi naona mazigizaga girl

Baby naona mazigizaga
Ina mi naona mazigizaga
Kanda man say mi naona mazigizaga yeah
Mi naona mazigizaga

Ooh yeah yeah, ooh my yeah 
Mi nakoma yeah, ooh yeah yeah 
Ooh my yeah 
Mi nakoma yeah, ooh yeah yeah
(Oooh yagaya yayaya)

Ning'inia mbe mbe mbea
Siwasikii hata wakiongea
Uking'ang'ana nachochea
Penzi losilondolee

Ning'inia mbe mbe mbea
Siwasikii hata wakiongea
Uking'ang'ana nachochea
Penzi lisilondolee

Mungu Baba kaumba bless up yeah
Hapaki hata kifuta yeah
Mungu Baba kaumba bless up yeah
Penzi lisilondolee

Chochote anachotaka mimi kwangu sawa
Ashanichanganya na medulla yeah
Na tena ukinigusa mimi hali mbaya, oooh

Kwani naona mazigizaga
Naona mazigizaga(Everybody say)
Ninaona mazigizaga
Ayee, mi naona mazigizaga girl

Baby naona mazigizaga
Ina mi naona mazigizaga
Kanda man say mi naona mazigizaga yeah
Mi naona mazigizaga

Ooh akiwa nami 
Anavyoniongoza hata gizani
Nishafika milani mtoto chumbani
Mpaka mi namwota yeye, oooh yeye