DOWNLOAD MAUMIVU BY MELL BARON - MP3, MP4 & LYRICS

Maumivu Lyrics

Hebu niambie kama kweli wanipenda
Haya kweli twajua
Ni haja gani ujitenge mbali nami
Kama kweli hunipendi tena niambie

Ni hatia kuniumiza kimawazo
Penzi la uchoyo sidhamini
Ni hatia kuniumiza kimawazo
Maumivu moyoni

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi, maumivu

Kosa si kosa
Lakini kurudia kosa ni madharau
Ulinipotezea muda bwana wee
Kunidanganya kila mara mmmh

Eti wanienzi kisha wanitupa aah
Nifanye nini ili uweze kutimiza
Kama kweli hunipendi tena niambie 
Nisipoteze muda wangu

Ni hatia kuniumiza kimawazo
Penzi la uchoyo sidhamini
Ni hatia kuniumiza kimawazo
Maumivu moyoni

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi, maumivu

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi

Naomba usinitese tese
Mpenzi kuwa wazi
Naomba usijitenge tenge
Mbali na mapenzi

Oooh maumivu

(Ihaji Made it)