DOWNLOAD KIBURI BY MIMAH SHAFIE - MP3, MP4 & LYRICS

Kiburi Lyrics

Huyu Mungu huchukizwa na kiburi
Huwashusha wale wote wa viburi
Huyu Mungu huchukizwa na kiburi
Huwashusha wale wote wa viburi

Neno lasema kwa wazi
Tujifunze kuwa wanyenyekevu
Na yote yaso halali
Pia hayafurahishi Mungu

Neno lasema kwa wazi
Tujifunze kuwa wanyenyekevu
Na yote yaso halali
Pia hayafurahishi Mungu

Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe
Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe

Kumbuka Nebuchadnezer alishushwa juu ya kiburi
Alijenga minara sifa zake akazipatia nuru
Kumbuka Nebuchadnezer alishushwa juu ya kiburi
Alijenga minara sifa zake akazipatia nuru

Ikawa Mola hakupendezwa 
Alishushwa kwa neno
Kweli hakupendezwa 
Alishushwa kwa neno

Neno lasema kwa wazi
Tujifunze kuwa wanyenyekevu
Na yote yaso halali
Pia hayafurahishi Mungu

Neno lasema kwa wazi
Tujifunze kuwa wanyenyekevu
Na yote yaso halali
Pia hayafurahishi Mungu

Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe
Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe

Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe
Kiburi kiburi, kiburi kiburi
Kiburi kiburi kitafanya ushushwe