DOWNLOAD KODOO BY MIMI MARS - MP3, MP4 & LYRICS

Kodoo Lyrics

Kutwa kuchaa niko nae
Kwenye shida na raha niko nae
Si subutu hata kuachana nae
Akinuna me nacheka nae
Natamani hata hii dunia ingekuwa yangu
Nikupu wewe (nikupe wewe)
Na kama wapo wengine wasiotaka mimi nikupende (nikupende)

Acha watutolee macho macho
Macho kodoo
Macho, macho, macho kodoo,
Acha watutolee
Macho (kodoo) macho,macho kodoo
Macho (kodoo) macho,macho kodoo

Nakupenda balaa (balaa)
Na vile unanyyodenda balaa (balaa)
Yani tunapendana balaa (balaa) mi love, mi love

Na tena nishawambia umenishika ah
Tena umenishika haswa
Hata ukinigusaga nafurahi
Unanijulia sita kwa sita sasa
Maji yamenifika hapa
Safari nafikaga na ndo maana

Natamani hata hii dunia ingekuwa yangu
Nikupe wewe (nikupe wewe)
Na kama wapo wengine wasiotaka mimi
Nikupende (nikupende)

Acha watutolee macho macho
Macho kodoo
Macho macho, macho kodoo
(Acha watutolee)
Macho (kodoo) macho,macho kodoo
Macho (kodoo) macho,macho kodoo

Simuachi… simuachi, simuachi
Simuachi... simuachi, simuachi

Acha watutolee macho macho
Macho kodoo
Macho macho, macho kodoo,
(Acha watutolee)
Macho (kodoo) macho,macho kodoo
Macho (kodoo) macho,macho kodoo