DOWNLOAD WATOTO WA TAIFA LA KESHO BY MIMI MARS - MP3, MP4 & LYRICS

Title Watoto wa Taifa la Kesho
Artists Mimi Mars
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Watoto wa Taifa la Kesho Lyrics

Watoto ndio taifa la kesho
Tuwalinde eeh
Ndio viongozi wa kesho
Tuwalinde eeh

Tuwatunzee
Tuwatunze eeh
Ndo taifa la kesho
Tuwatunze eeeh

Dhamani yao ni leo 
Kama wakizingatiwa
Kukingwa na upepo
Kukingwa na upepo

Watoto wapewe kipau mbele, oooh
Elimu nafasi za masomo bila awamu
Afya ya mama na mtoto
Sawa na kiberiti kwa moto

Wakingwe na unyanyasaji 
Kijinsia
Wapate kinga za magonjwa 
Kwa taifa la kesho

Watoto ndio taifa la kesho
Tuwalinde eeh
Ndio viongozi wa kesho
Tuwalinde eeh

Tuwatunzee
Tuwatunze eeh
Ndo taifa la kesho
Tuwatunze eeeh

Mbuyu ulianza kama mchicha
Kwa kumwagiliwa mbolea na kusafishwa
Wanahitaji uangalizi wa familia
Wazazi, serikali pia

Wakingwe na unyanyasaji 
Kijinsia
Wapate kinga za magonjwa 
Kwa taifa la kesho

Watoto ndio taifa la kesho
Tuwalinde eeh
Ndio viongozi wa kesho
Tuwalinde eeh

Tuwatunzee
Tuwatunze eeh
Ndo taifa la kesho
Tuwatunze eeeh

Asilimia 90% ni vizazi mtaani
Vinaumia hususan watoto
Jukumu letu kuwalinda 
Kama gari linavyokwepa ajali
Maana ni watoto

Watoto ndio taifa la kesho
Tuwalinde eeh
Ndio viongozi wa kesho
Tuwalinde eeh

Tuwatunzee
Tuwatunze eeh
Ndo taifa la kesho
Tuwatunze eeeh

Asilimia 90% ni vizazi mtaani
Vinaumia hususan watoto
Jukumu letu kuwalinda 
Kama gari linavyokwepa ajali
Maana ni watoto