DOWNLOAD MAUMIVU (PAIN) BY MO MUSIC - MP3, MP4 & LYRICS

Title Maumivu (Pain)
Artists Mo Music
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Maumivu (Pain) Lyrics

Hujawai nihesabia makosa hayo
Daily niko baani natumia
Kwa kweli kila penzi lina historia
Ila la kwangu sitaki kulikumbukia

Daily mi nina mitungi 
Mdomoni na mirungi na fegi juu
Na bado mlango sifungi
Hata busara sifungi makofi juu
Kweli ulinivumilia (Vumilia aah)
Yote nilokufanyia

Nahisi niliwahi kuwa nawe
Nimengojea ujana upite
Hata usingizi haupiti
Siridhiki wewe kuwa na yeye

What goes around comes around
Moyo unauma ila 
What goes around comes around
Moyo unatetereka

What goes around comes around
Siwezi tena kusahau
What goes around comes around
Moyo unauma ila

Punguza mapenzi kanipa now
Nikisema kurudi nitakabwa koo
Skia hivi sasa my baby boy
Siwezi tena

Nilikuvisha pete
Ukanivulisha upendo
Napata kiu, sijiwezi
Moyo unauma tayari

Usisahau mpenzi umeniumiza (Sawa)
Fisi gani asiye chunga fupa (Haya)
Kidazini umenining'iniza (Sawa)
Kituoni umenipitiliza (Haya)

Nahisi niliwahi kuwa nawe
Nimengojea ujana upite
Hata usingizi haupiti
Siridhiki wewe kuwa na yeye

What goes around comes around
Moyo unauma ila 
What goes around comes around
Moyo unatetereka

What goes around comes around
Siwezi tena kusahau
What goes around comes around
Moyo unauma ila

Usisahau mpenzi umeniumiza 
Fisi gani asiye chunga fupa 
Kidazini umenining'iniza 
Kituoni umenipitiliza (Haya)