DOWNLOAD CHEZA GOSPEL BY MOJI SHORTBABAA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Cheza Gospel
Artists Moji Shortbabaa
Genres Gospel
Country Kenya

Cheza Gospel Lyrics

Yeah yeah yeah, Yeah yeah yeah 
Ni Shorti Baba

Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Watu wapopopone, watu wapopopone
Watu wapopopone, watu wapopopone

It's about time, hii bendera ipepee
Ipepee
It's about time, hii bendera ipepee
Ipepee

Ah nichezee mziki wa Yesu
Si tuzitoke kikwetu aah
Ah nichezee mziki wa Yesu
Si tuzitoke kikwetu aah

Mziki ni dawa, na Yesu ndio dawa
Na huu mziki wa Yesu, mziki wa power
Mziki ni dawa, na Yesu ndio dawa
Mziki wa Yesu, mziki wa power

Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Watu wapopopone, watu wapopopone
Watu wapopopone, watu wapopopone

Ah ni watu wanapitia maneno
Cheza watoe mameno
Watu wanapitia maneno
Cheza watoe mameno

Na wasanii aii tuimbe tuinue jamii aah
Na wasanii aii tuimbe tuinue jamii aah
Ai na huu mziki wa Yesu, turudishe watu kwa Yesu
Ai na huu mziki wa Yesu, turudishe watu kwa Yesu

Mziki ni dawa, na Yesu ndio dawa
Na huu mziki wa Yesu, mziki wa power
Mziki ni dawa, na Yesu ndio dawa
Mziki wa Yesu, mziki wa power

Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Watu wapopopone, watu wapopopone
Watu wapopopone, watu wapopopone

Big up ma Dj Dj wanacheza gospel, gospel
Big up wasanii wasanii wanaimba gospel, gospel
Big up ma station station zinacheza gospel, gospel
Big up ma fans dem wanaskiza gospel, gospel

Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Ah Mr Dj, play me some gospel
Play me some gospel
Watu wapopopone, watu wapopopone
Watu wapopopone, watu wapopopone