DOWNLOAD DANCE YA KANISA BY MOJI SHORTBABAA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Dance ya Kanisa
Artists Moji Shortbabaa
Genres Gospel
Country Kenya

Dance ya Kanisa Lyrics

Oya ni Shorti Baba aah
Ayayaa hii ni dance ya kanisa
Oyoyoo aah hii ni dance ya kanisa

Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Aaah hii ni dance ya kanisa

Mi ni boy wa kanisa
Na nimekam kuchachisha
Aaah napenda Yesu kabisa
So nitadu? Dance ya kanisa

Wasee wasee 
Hii dance si ya wazee
Wasee wasee 
Dance ya kanisa kila msee

Haya basi twende twendete
Dance ya kanisa ieleweka
Mapenzi ya baba itendeke
Kama mtu hajashika usimcheke

Aaah haijalishi we ni nani
We huenda church gani
Aah unapenda Yesu nani
Aah kuja basi dance nami

Ayayaa hii ni dance ya kanisa
Oyoyoo aah hii ni dance ya kanisa

Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Aaah hii ni dance ya kanisa

Mi ndio najua
Place nimetoka ni mbali for sure
So kila siku niko chini ya jua
Nitadance for my Jesus mi nitachafua

Ameondoa zogo(Zogo)
Maisha tam ka mhogo(Hogo)
Nitashukuru si kidogo(Kidogo)
Dance ya kanisa mdogo(Mdogo)

Haya basi twende twendete
Dance ya kanisa ieleweka
Mapenzi ya baba itendeke
Kama mtu hajashika usimcheke

Chezea bwana chezea
Dance ya kanisa
Chezea bwana chezea
Dance ya kanisa

Ayayaa hii ni dance ya kanisa
Oyoyoo aah hii ni dance ya kanisa

Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Dance ya kanisa, dance ya kanisa
Aaah hii ni dance ya kanisa