DOWNLOAD IMANI BY MOJI SHORTBABAA - MP3, MP4 & LYRICS

Imani Lyrics

Amenipa imani aii ya kupunguza milima
Amenipa imani aii ya kupunguza milima

Milima ya dhambi pungua
Milima ya shida pungua
Hata ya magonjwa pungua
Hata ya uoga pungua

Baba ulisema bila imani mi siwezi kubamba 
Baba ulisema bila imani mi siwezi kubamba

So nitasimama mi sitakushuku
Baba ukisema mi nita do do
Mi nawe pamoja kama yai na kuku
Na utaning'arisha utanitoa makutu

Ukasema na imani kidogo tu
Mi nikuamini kidogo tu
Na vitu nitaona si kidogo tu
Na shetani ataona moto tu

Amenipa imani aii ya kupunguza milima
Amenipa imani aii ya kupunguza milima

Milima ya dhambi pungua
Milima ya shida pungua
Hata ya magonjwa pungua
Hata ya uoga pungua

Mawimbi yakipiga mi nashika imani yangu
Hadi ya mwisho dakika mi nashika imani yangu
Najua yote yatapita, mi nashika imani yangu
Yesu wangu ni ngome imara
Aii na unaeza cheki Inshallah
Ukimwamini unang'ara 
Oya chenga imani yako

Ukasema na imani kidogo tu
Mi nikuamini kidogo tu
Na vitu nitaona si kidogo tu
Na shetani ataona moto tu

Amenipa imani aii ya kupunguza milima
Amenipa imani aii ya kupunguza milima

Milima ya dhambi pungua
Milima ya shida pungua
Hata ya magonjwa pungua
Hata ya uoga pungua

Ukasema na imani kidogo tu
Mi nikuamini kidogo tu
Na vitu nitaona si kidogo tu
Na shetani ataona moto tu

Ukasema na imani kidogo tu
Mi nikuamini kidogo tu
Na vitu nitaona si kidogo tu
Na shetani ataona moto tu

Amenipa imani aii ya kupunguza milima
Amenipa imani aii ya kupunguza milima

Milima ya dhambi pungua
Milima ya shida pungua
Hata ya magonjwa pungua
Hata ya uoga pungua

Amenipa imani aii ya kupunguza milima
Amenipa imani aii ya kupunguza milima

Milima ya dhambi pungua
Milima ya shida pungua
Hata ya magonjwa pungua
Hata ya uoga pungua