DOWNLOAD TOSHA BY MOJI SHORTBABAA - MP3, MP4 & LYRICS

Tosha Lyrics

Saint P bana 
Hio imetosha bana imetosha
Short Babaa

Tosha, tosha ah hio imetosha
Tosha, tosha ah hio imetosha
Kukosa kakitu, tosha
Hizi mashida, tosha
Kulia kila siku, tosha

Najua hii dunia ni mapito
But man nimepitia mapito
Kuna wee kutamani ka gas
Nimepika sana na jiko

Si kuteta na teta
But sikukam kuteseka
Si kuteta na teta
Ah natamani ma better

Mama mboga ananidai 2 years, hio imetosha
Ah jina landlord sitaki kusikia, hio imetosha
Nyama mi huona kwa movie, hio imetosha
Mtoto hakuna siku huwa hafukuzwi, ah hio imetosha

Tosha, tosha ah hio imetosha
Tosha, tosha ah hio imetosha
Kukosa kakitu, tosha
Hizi mashida, tosha
Kulia kila siku, tosha

Kila harusi yangu ni lini? tosha
Maombi naomba ubaya ni nini? tosha
Mtu anishow ni kwanini, mimi nafaa nizoee umasikini
Mtu anishow ni kwanini? mimi siwezi kataa umasikini

Mama mboga ananidai 2 years, hio imetosha
Ah jina landlord sitaki kusikia, hio imetosha
Nyama mi huona kwa movie, hio imetosha
Mtoto hakuna siku huwa hafukuzwi, ah hio imetosha

Tosha, tosha ah hio imetosha
Tosha, tosha ah hio imetosha
Kukosa kakitu, tosha
Hizi mashida, tosha
Kulia kila siku, tosha

Ah inauma ah na sitazoea
Ah inauma ah na sitazoea
Ah inauma ah na sitazoea
Ah inauma ah hio imetosha

Tosha tosha, sema hio imetosha
Tosha tosha, sema hio imetosha
Tosha tosha, sema hio imetosha
Tosha tosha hio imetosha

Kukosa kakitu, tosha
Hizi mashida, tosha
Kulia kila siku, tosha

Biblia inasema hatupati ju hatuitishi
Mi nimeitisha, tosha