DOWNLOAD UNABORE BY MOJI SHORTBABAA - MP3, MP4 & LYRICS

Unabore Lyrics

Hey, so ata kama una doh
Maisha inabore
Ata bila hizo doh
Maisha bado ina go

Ai oya haijalishi manze we ni nani
We ni wa Nairobi ama mashinani
We mzee mpoa ama kisirani
Lazima unajua Mungu ni nani

Eeh aii ah you know, you know
Usipo dance atasifiwa na mawe
Aaai ah you know, you know
Usipo dance atasifiwa na mawe

Uuhmm katika, mmmh katika
Now now hii dakika
Uuhmm katika, mmmh katika
Now now hii dakika

Kama haudance unabore, unabore
Hukatiki unabore, unabore
Kama haudance unabore, unabore
Amekubless unabore, unabore

Kama haudance unabore, unabore
Hukatiki unabore, unabore
Kama haudance unabore, unabore
Amekubless unabore, unabore

Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go
Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go

Aii aai alright then, aai alright then
Ukiandika ma baraka ni mingi utapata
Aii go write them

Aiii hizo sasa jichoche ka makanga
Jichoche ka mzeya amekaranga
Ah tucheze tucheze ka kadanda
Steam steam panda

Eeh aaai ah you know, you know
Usipo dance atasifiwa na mawe
Aaai ah you know, you know
Usipo dance atasifiwa na mawe

Uuhmm katika, mmmh katika
Now now hii dakika
Uuhmm katika, mmmh katika
Now now hii dakika

Kama haudance unabore, unabore
Hukatiki unabore, unabore
Kama haudance unabore, unabore
Amekubless unabore, unabore

Kama haudance unabore, unabore
Hukatiki unabore, unabore
Kama haudance unabore, unabore
Amekubless unabore, unabore

Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go
Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go

Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go
Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go

Amenitendea(Amenitendea)
Amenitendea(Amenitendea)
Amenitendea(Amenitendea)
Amenitendea(Amenitendea)

Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go
Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go

Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go
Basi kila mtu, kila mtu, kila mtu go
Kila mtu, kila mtu go