DOWNLOAD SAFARI BY MORAN - MP3, MP4 & LYRICS

Safari Lyrics

[Verse 1: Paul Richard]
Penzi letu liwe dawa
Unitibu bila faida
Tusipoe, tusipotee
Tusiishie njiani

Penzi letu liwe ishara
Tutafanya wao wataiga
Bisha hodi, nifungue
Ujisikie nyumbani

[Pre-Chorus: Leonard Sunday]
Ohh Nikiulizwa nitakutaja umenijaa kwenye kichwa
Nishajenga daraja tujiandae kuvuka
Siko radhi, nikukose my love
Kuna muda naliagaa tuuhhhh

[Chorus: All]
Weee kama weee, nakupenda wee kama wee
Weee kama weee, nakupenda wee kama wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee

[Verse 2: Leonard Sunday]
Waseme tumefanana
Wasiseme utaniacha
Nikupende hadi, nikitazama kwa kioo
Taswira yako itokee
Moto kwangu uwe fire
Say hi to love
Nikupende, nikuoe
Tuvishane pete

[Pre-Chorus: Paul Richard]
Nikiulizwa nitakutaja umenijaa kwenye kichwa
Nishajenga daraja tujiandae kuvuka
Siko radhi, nikukose my love
Kuna muda naliagaa tuuuuhhh

[Chorus: All]
Weee kama weee, nakupenda we kama weeh ...
Weee kama weee, nakupenda we kama weeh ...
(baby bado kidogo, ohhh bado kidogo, ohh bado kidogo)
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na wee
Si unajua ni safari, tutakwenda mimi na weee