DOWNLOAD RAHA BY MR BLUE - MP3, MP4 & LYRICS

Raha Lyrics

Kweli amenipa juju
Sijiwezi kama zuzu(Zuzuzu)
Akili ameiharibu
Anapopita macho juu juu (Jujuju)

Niogeshe nioge kwenye mapenzi yako
Nionyeshe mpaka kwenye kilele cha mafanikio
Nionyeshe nataka kutazama, napenda kutazama
Nionjeshe kwako nimezama, mpenzi nimezama

Dem mkali kama wewe 
Mwenye sifa kama wewe nimeona kwenye video
Nakupenda nakutaka pale kati
Pale pale pale kati kwenye video

You are the one in a million
(Oooh million)
You are the one in a million
(Oooh )

Haya madeko ya raha 
Hivi vicheko vya raha raha
Mi sichoshwi na raha
Raha raha

Haya madeko ya raha 
Hivi vicheko vya raha raha
Mi sichoshwi na raha
Raha raha

Lele le lele
Lele le lele
Lele le lele
Leleeeee

Niko radhi nilale teko
Niko radhi wahuni wanipige battle
Raha nazopata special
Niko radhi hata nisione kesho

Toto kanipa na mbeleko
Kkkrrraah mserereko
Akiniacha tetemeko
Shida kweli shida queen of the ghetto

Dem mkali kama wewe 
Mwenye sifa kama wewe nimeona kwenye video
Nakupenda nakutaka pale kati
Pale pale pale kati kwenye video

You are the one in a million
(Oooh million)
You are the one in a million
(Oooh )

Haya madeko ya raha 
Hivi vicheko vya raha raha
Mi sichoshwi na raha
Raha raha

Haya madeko ya raha 
Hivi vicheko vya raha raha
Mi sichoshwi na raha
Raha raha

Lele le lele
Lele le lele
Lele le lele
Leleeeee

Raha raha(Oooh)
Raha raha(Oooh)