DOWNLOAD UTANIELEZA NINI BY MR BLUE, TWISCO - MP3, MP4 & LYRICS

Title Utanieleza nini
Artists Mr Blue Twisco
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Utanieleza nini Lyrics

Hakuna kitu huumiza kichwa kama ukinidai
Umejipasisha too much lies
Hakuna kitu huumiza kichwa kama ukinidai
Unapojiita ticha don don't try
Umejipasisha too much lies
We mtaa wa tisa vipi unanispy

Nabembea, niko na shida zangu mi nabembea
Nabembea, niko na life yangu mi nabembea

They call me Babylon Busy nawakaba kwenye rhymes
Kila show kila collabo nashine
Toka '94 bado niko kwenye line
Nawapa flow wananipa doh nashusha wine

I got corner iko mbele na inambembea
Simba mwenye pole sina kelele natembea
Nikitizama hawa malazy wanavyozembea
Nini wanachoongea kutwa kucha kwa umbea

Utanieleza nini, we utanieleza nini?
Utanieleza nini, we utanieleza nini?

God bless me take me away from enemies
Unawaza unikabe koo mi niko so busy
Akili inawaza doh nigga pay freeze
Nigga you already know who it is

Chambi chambi adimu na kambi imejaza timu
Hata utembelee elimu hatukuoni mwendawazimu
Rafiki kuwa adui, si mi ni mimi
Simba apige stori na chui, si mi ni mimi

Mbuyu ulianza kuwa mchicha
Video ilianza na picha
Collabo ilianza na feature
Hunioni macho fikisha

Kipofu ameona kivuli chake
Tembo hashindwi na konga lake

Nabembea, niko na shida zangu mi nabembea
Nabembea, niko na life yangu mi nabembea
Utanieleza nini, we utanieleza nini?
Utanieleza nini, we utanieleza nini?