DOWNLOAD ANGELIE BY MR NANA, RICH MAVOKO - MP3, MP4 & LYRICS

Angelie Lyrics

Mtoto mzuri toka tumboni
Nampa tiki nampa tokeni
Atake nini mi mwenyewe msanii
Nitapiga mumbwe mpaka campaign

One time one
Hata hakaelezeki
Haka katoto iyee

One by one 
Mikao ya piki piki
Mara kaniminyie

Nampa ua rose rose
Nyororo ngozi hayo mapozi

Mikao ya popo (Tunakesha)
Hoi mpaka majogoo (Tunakesha)
Michezo ya sokomoko (Tunakesha)
Baby we kiboko (Tunakesha)

Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
(Angelie you can call me your darling)

Utamaduni ubakie wa Morocco
Bibi babu wataniwe kiboroto
Ukiziba chochoro nitakosa na ramani
Basi nifanye kiporo utakula hata njiani

Usiniharibie wa njiwa niadisie
Leo mpaka mtondogoo
Angelie we maa unaniuma
Hii dunia kweli mama chonde chunga

Ushapunguza mapepe
Fanya nideke
Nipe niweke eeh

Mikao ya popo (Tunakesha)
Hoi mpaka majogoo (Tunakesha)
Michezo ya sokomoko (Tunakesha)
Baby we kiboko (Tunakesha)

Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
(Angelie you can call me your darling)

Mapenzi yetu mi nawe
Kama ziwa na mtoto, mi na wewe 
Ukininyima nitalia, mi na wewe 
Nikubali niwe wako, mi na wewe

Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
Angelie, Angelie, Angelie (Haa lele)
(Angelie you can call me your darling)