DOWNLOAD NIMEAMUA SITARUDI NYUMA BY MSANII MUSIC GROUP - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nimeamua Sitarudi Nyuma
Artists Msanii Music Group
Genres Gospel
Country Kenya

Nimeamua Sitarudi Nyuma Lyrics

Nimeamua aah sitarundi nyuma
Nimeamua aah Sitarundi Nyuma
Ata iweenje Sitarundi Nyuma
 
Niko katika safari ndefu eeh
Niko katika safari ndefu eeh
Nyenye milima na mobonde mengi sana
Nyenye wanyama wakali njiani
Wananitisha nisi endelee
Wananitisha nisi endelee
Niko katika safari ndefu eeh
Niko katika safari ndefu eeh
Nyenye milima na mobonde mengi sana
Nyenye wanyama wakali njiani
Wananitisha nisi endelee
Wananitisha nisi endelee

Njaa na kiu vyote vyanisoga
Njaa na kiu vyote vyanisoga
Uko njiani nakutana na wengine
Walionza safari kama mimi
Wameamua kuacha safari
Wameamua kuacha safari
Njaa na kiu vyote vyanisoga
Njaa na kiu vyote vyanisoga
Uko njiani nakutana na wengine
Walionza safari kama mimi
Wameamua kuacha safari
Wameamua kuacha safari

Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Ata iweenje sitarundi nyuma
Ata nifikee mbiguni kwa Baba
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Tembea name katika safari
Tembea name katika safari
Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Ata iweenje sitarundi nyuma
Ata iweenje sitarundi nyuma
Mpaka nifikee mbiguni kwa Baba
Mpaka nifikee mbiguni kwa Baba
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Tembea nami katika safari
Teambea nami Baba katika safari

Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Nimeamua aah, sitarundi nyuma
Ata iweenje sitarundi nyuma
Ata iweenje sitarundi nyuma
Mpaka nifikee mbiguni kwa Baba
Mpaka nifikee mbiguni kwa Baba
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Eeh mwokozi nyesu nishike mkono
Tembea nami katika safari
Teambea nami Baba katika safari