DOWNLOAD INAMA BY MTAFYA - MP3, MP4 & LYRICS

Inama Lyrics

Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka
Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka

Habari gani we ni nani
Mambo za kuogopana kizamani
Hatuendani hatupendani
Kufuatana fuatana kwani kunani?

Mbona ka we mshamba
Umenuna au vipi?
Hapa ni bumper to bumper
Tukipata chumba tunakucheat

Ati Mwajuma Mwijaku, joketi jakobo
Mbaghala rangi tatu
Chimba na gitobo

Oya chuma imegota, imekwa iyo imekwama
Inanasa ka bazoka, imekwama iyo, imekwama

Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka
Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka

Inama uvinza chimba
Ukiizubaa nacheza na rinda
Kamata katoto kinda
Akilewa lugha inapinda

Fatuma kanga moto
Kapika wali boko boko
Na mchuzi rojo rojo
Kachanganya na sotojo

Oya chuma imegota, imekwa iyo imekwama
Inanasa ka bazoka, imekwama iyo, imekwama

Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka
Ah inama inama inama inama
Ah inuka inuka inuka inuka