DOWNLOAD ONLY YOU GOD BY MWANA MTULE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Only You God
Artists Mwana Mtule
Genres Gospel
Country Kenya

Only You God Lyrics

Thank you Lord for this life
No regret mambo ni fine
Wabariki wangu wazazi
Kwa kazi nzuri walifanya kunizaa

Asante sana Mungu Baba
Umenionyesha dunia
You are my hero, you are my hero

Kule umenitoa ni mbali
Sijasahau Mwenyezi
Nikitembea bila champali
Hizo siku nikiitwa chizi

Kule umenitoa ni mbali
Sijasahau Mwenyezi
Nikitembea bila champali
Hizo siku nikiitwa chizi

Only you, unayenijua
Only you, wanielewa
Only you, unajua kule nilitoka
Only you, na wajua huku ninakwenda

Kitu sinaga ni doh
Kitu sinaga ni doh
Niliwashow niko na wewe dear Lord
Niko na wewe dear Lord

Producer piga drum drum
Niko na vibe ya God
Producer piga drum drum
Niko na vibe ya God

Some people dey ask me Alpha you are Jamaican
Me tell them no I am a luhya man
Some people dey ask me Alpha is a Congo man
Me tell them no I am a luhya man

Yote ni kwa upendo wako baba
Eeh wananifananishaga
Yote ni kwa upendo wako baba
Eeeh wananionaga Superstar

Juzi Dj Afro alinipeleka moja Hongkon
Nikampata Jaolong anasikiza ngoma yangu na sadelawong
Juzi Dj Afro alinipeleka moja Hongkon
Nikampata Jaolong anasikiza ngoma yangu na sadelawong

Only you, unayenijua
Only you, wanielewa
Only you, unajua kule nilitoka
Only you, na wajua huku ninakwenda

Pokea shangwe, pokea shangwe
Mungu baba pokea shangwe
Pokea shangwe

Ni wewe unanijua zaidi
Ni wewe unanijua zaidi
You know me better than them

Only you, unayenijua
Only you, wanielewa
Only you, unajua kule nilitoka
Only you, na wajua huku ninakwenda