DOWNLOAD WAO BY MWASITI - MP3, MP4 & LYRICS

Wao Lyrics

Mwasiti - Wao lyrics

Unanijua nilivyo, unanijua nilivyo
Umechukua moyo wangu wote mazima, kaka wee

Unanijua nilivyo, unanijua kaka wewe nilivyo

Lakini, ooooh..(Lakini wao wao wao wao wao)

Lakini, ooooh..

Uwongo siwezi tena, kwako wee
Mwingine sitamani tena, wengine

Moyo wangu, moyo wangu wakutaka wewe tu
Akili yangu, akili yangu yakuwaza wewe tu