DOWNLOAD WHO I AM BY NACHA - MP3, MP4 & LYRICS

Who I Am Lyrics

(Nyasubi ndani ya mbanyu tena)

Nilisoma nipate kazi but now niko na certificate na ni jobless tu
Wenye akili ndogo watauona huu wimbo kama Yope
Na ninachofanya ni ku wa entertain tu
When I wake up badala ya kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama
Mi nawasha data

Wala si kuisoma Civics
Afro shirazi na tanu wala sina kadi ya wanachama
Ila kutwa wanatukana kuhusu siasa
Nina mwanamke sinza, nina mwanamke Mbaghala
Na siridhiki ngono nikirudi home najichua kabla ya kulala

Yaani naitafuta meli Morogoro kwa mkogoro
Who I am? Mi ni mfungwa au nina kasoro
Oooh namkumbuka Sarafina freedom is coming tomorrow
Ex wangu bado ananitext eti amenimiss huko kileleni hafiki
Mke wa mtu na ana watoto alifunga ndoa ya kifahari Pentecost church
Na gospel artist baadhi yao ni ka wanamdhihaki tu Mungu
Wanachoimba na matendo yao hayaendani na kumcha Mungu
Hata nikiwatch kwa TV simwoni Nacha akicheza
Namwona video vixen akitwerk
Watoto wetu kwa TV ndicho wanachojifunza wakajibu NETA Yes

----------
------