DOWNLOAD INANIAFFECT BY NAIBOI, THE BAND BECA - MP3, MP4 & LYRICS

Inaniaffect Lyrics

Inaniaffect hii  inaniaffect 
Inaniaffect hii drink inaniaffect 
Inaniaffect hii doo inaniaffect 
Na react yaani vile inaniaffect

Tuko place flani bila simu really so remote see
Nimejiingiza kwa hizi shida ya wadosi 
 Watoto flani kando yangu  na msosi 
Inaniaffect hii inaniaffect

Drinks on me hio ni njaro b4
Drinks on the house hio ndio vybe am on
Scent so strong unaeza tell na cologne
Inaniaffect hii inaniaffect

Niko na hii mbogi tume jaaa jaaa jaa jaaa
Lighters zime waka jicho nya nyaa nyaa 
Daily gava yetu inatu karanga
Pigeni nduru (inaniaffect)
Ulalalala

Inaniaffect hii inaniaffect 
Inaniaffect hii drink inaniaffect 
Inaniaffect hii doo inaniaffect 
Na react yaani vile inaniaffect

Najidai chali yangu kaui dai unaeza shtiep
Ile ile respec ndio nakam kucollect 
Tu agree ku agree hini mbaya no debate
Na drop it down fanya boi ana erect

Inakuaffect unaloose sense 
Unanambia unibebe kwa Benz
Inaniaffect sijui nikuge-sh
Pull up your socks ukitaka kutaste
Aaah aahh 
I got the I got the keys to the hits
And I got the whole club dancing to the beats
Hii ni head banger buda mbona uko kwa sit 
Inaniaffect hii inaniaffect

Inaniaffect hii inaniaffect 
Inaniaffect hii drink inaniaffect 
Inaniaffect hii doo inaniaffect 
Na react yaani vile inaniaffect

Inaniaffect hii inaniaffect 
Inaniaffect hii drink inaniaffect 
Inaniaffect hii doo inaniaffect 
Na react yaani vile inaniaffect