DOWNLOAD NYANYASA BY NANDY - MP3, MP4 & LYRICS

Nyanyasa Lyrics

Aaah aaaaah, unaninyanyasa
Unaninyanyasa unaninyanyasa 
Unaninyanyasa unaninyanyasa

Mwili umekonda nimepungua
Haieleweki nachougua
Moyo kidonda unakwangua 
Inauma sana

Mbele za watu unaniumbua sina la kusema
Visa unanifanyia japo navumilia 
Iila naumia sana na siku ukijua 
Kuwa unanikosea itakuwa too late

Japo unaninyanyasa 
Baby unaninyanyasa
Wewe unaninyanyasa
Baby unaninyanyasa

Unaniangusha chini, aniokote nani?
Japo ujui dhamani yangu me 
Nani ataitambua?

Kwanza kumbuka baby 
Si tumetoka mbali
Ukiwa huna siwazi 
Nimekubali tuijenge familia

Visa unanifanyia japo navumilia 
Iila naumia sana na siku ukijua 
Kuwa unanikosea itakuwa too late

Japo unaninyanyasa 
Baby unaninyanyasa
Wewe unaninyanyasa
Baby unaninyanyasa

(Aaah aaaaah, unaninyanyasa)