DOWNLOAD YOTE SAWA BY NANDY - MP3, MP4 & LYRICS

Yote Sawa Lyrics

Mimi sio kama wale
Walopita zamani mpenzi
Ooh niamini mwendo uwe sare
Usije nicha njiani mpenzi

Kule niliona mazito
Penzi lilikuwaga la mpito
Kulalama kulichosha koo
Ila nashukuru ilinikomaza roho

Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona

Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma

Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)

Tafsiri ya penzi sio kitanda tu
Ina mengi juu yake ni mapenzi
Sio kama sioni na sio ushamba boo
Kuna wengi niwafuate

Nilijaribu nilipoweza kufanya
Haikuonekana kwangu ikawa aibu
Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya

Licha ya kuitoa mchangani
Sikuacha kujipa imani
Japo mengi yalinikata maini
Nikaliwazua na msondona

Uzuri haupotei ramani
Ubaya hauvaishwi miwani
Nikachoka madongo ya gizani
Na mateso ya Sodoma

Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
Yote sawa, wouuh
Yote sawa (Yote sawa)