DOWNLOAD SEMA NAMI BY NEEMA CIZUNGU - MP3, MP4 & LYRICS

Sema Nami Lyrics

Inua moyo wangu nizungumze nawe
Inua moyo wangu niseme nawe
Tuongee lugha ya mbingu dunia isisikie
Natamani sana kuzungumza nawe

Inua moyo wangu nizungumze nawe
Inua moyo wangu niseme nawe
Tuongee lugha ya mbingu dunia isisikie
Natamani sana kuzungumza nawe

Kila siku niseme nawe, niongee nawe
Nikusikie ukisema nami
Nizungumze nawe niongee nawe 
Nikusikie ukisema nami

Niseme nawe, niongee nawe
Nikusikie ukisema nami
Nizungumze nawe niongee nawe 
Nikusikie ukisema nami

Yesu Kristo natamani sana kuongea na wewe
Na wewe useme na mimi
Sababu kuna vile nikukaribia sana
Mambo yangu yanaenda sawa

Natamani sana kila siku, kila wakati
Kila dakika niongee na wewe baba
Niwezeshe roho mtakatifu halleluyah

Nikizungumza nawe, nabarikiwa
Ukisema nami, natiwa nguvu
Nikiongea nawe, nafunguliwa
Ukisema nami, kuna vile nabubujika

Nikisema nawe nabarikiwa
Ukiongea nami natiwa nguvu mpya
Nikikusogelea zaidi tena 
Yesu we nafunguliwa
Nikisema nawe kuna vile nabubujika

Niseme nawe, niongee nawe
Nikusikie ukisema nami
Nizungumze nawe niongee nawe 
Nikusikie ukisema nami

Sema nami bwana, sema na moyo wangu
Sema nami bwana, sema nitasikia

Niseme nawe, niongee nawe
Nikusikie ukisema nami
Nizungumze nawe niongee nawe 
Nikusikie ukisema nami

Niseme nawe, niongee nawe
Nikusikie ukisema nami
Nizungumze nawe niongee nawe 
Nikusikie ukisema nami

Ulionge na Musa, ukasema na Eliyah
Ukasema na Isaya Baba
Tena ukasema na Ibrahimu
Ukasema na Danieli, ukasema naye Yoshua
Na mimi niko hapa Baba Baba useme na mimi

Sema nami Yesu, sema nami Rabuni wangu
Sema sema sema sema sema baba wee
Niko hapa Yesu

Sema nami bwana, sema na moyo wangu
Sema nami bwana, sema nitasikia 
Sema nami bwana, sema na moyo wangu
Sema nami bwana, sema nitasikia

Sema nami bwana, sema na moyo wangu
Sema nami bwana, sema nitasikia 
Sema nami bwana, sema na moyo wangu
Sema nami bwana, sema nitasikia