DOWNLOAD AMENIFANYIA AMANI BY PAUL CLEMENT - MP3, MP4 & LYRICS

Title Amenifanyia Amani
Artists Paul Clement
Genres Gospel
Country Tanzania

Amenifanyia Amani Lyrics

Amenifanyia amani 
Amenifanyia amani 
Kaondoa huzuni yangu 
Kanifanyia amani

Nijapopita kwenye bonde la mauti 
Sitaogopa maana wewe uko nami 
Gongo lako na fimbo yako 
Eh Bwana vyanifariji 
Wanifanyia amani 
Umesema ya kwamba hutaniacha
Sababu mimi ni mboni ya jicho lako
Bwana wanitazama asubuhi mchana jioni
Eeh Bwana  kweli Mungu wa baraka

Amebadilisha uchungu wangu 
Umekua ni furaha yangu 
Huyu Yesu amenipa furaha Kanifanyia amani
This Jesus gave me joy
Amebadilisha machozi yangu
Yamekuwa ni furaha yangu 
Huyu Yesu amenipa furaha  kanifanyia amani

Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii
Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu
We waniganga moyo nipatapo uchungu
Wanifanyia amani You grant me peace

Amenifanyia furaha He has granted me joy
Kaondoa huzuni yangu 
Kanifanyia furaha