DOWNLOAD MUNGU HALISI BY PAUL CLEMENT - MP3, MP4 & LYRICS

Title Mungu Halisi
Artists Paul Clement
Genres Gospel
Country Tanzania

Mungu Halisi Lyrics

Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana

Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana

Matendo yako yanatisha kama nini
Matendo yako yanatetemesha
Aaah aah aah...

Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana

Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana

Matendo yako yanatisha kama nini
Matendo yako yanatetemesha
Aaah aah aah

Bwana we si hadithi(Uuuuh)
Wewe si simulizi(Uuuuh)
Bwana wewe ni kweli(Uuuuh)
Uhai, umilele wangu(Uuuuh)

Wewe si story za kale(Uuuuh)
Za mababu wa zamani(Uuuuh)
Bwana wewe ni kweli(Uuuuh)
Uhai, umilele wangu(Uuuuh)

Bwana unazo nguvu
Bwana unazo nguvu
Bwana unazo nguvu

Bwana wewe ndiwe Mungu
Huhitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza
Kuwa wewe ni kweli

Bwana wewe ndiwe Mungu
Huhitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza
Kuwa wewe ni kweli

Maishani mwetu

Bwana wewe ndiwe Mungu
Huhitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza
Kuwa wewe ni kweli

Kwenye maisha yetu

Bwana wewe ndiwe Mungu
Huhitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza
Kuwa wewe ni kweli

Ni kweli(Ni kweli)
Kwamba nguvu zako(Ni kweli)
Zinajieleza(Ni kweli)
Zinajieleza(Ni kweli)

Kwamba matendo yako(Ni kweli)
Yanajieleza siku hadi siku(Ni kweli)
Ooooh weee(Ni kweli)
Bwana aah(Ni kweli)

Yanajieleza kwenye maisha yetu
Yanajieleza kwenye uponyaji wetu
Yanajieleza kwenye kuinuliwa
Ooooh....Halleluyah Jesus

We worship you Lord