DOWNLOAD SIOGOPI BY PAUL CLEMENT - MP3, MP4 & LYRICS

Siogopi Lyrics

Siogopi kuchelewa
Sababu mungu wangu hachelewi wala hawai
Siogopi mateso yangu
Sababu yananipeleka kwenye ukuu wangu

Siogopi kudharauliwa
Maana ndiko kunako npaa heshima yangu
Siogopi adui zangu
Maana najua ni adui wa Mungu wangu

Siogopi hivi vita vyangu
Maana ndivyo vinavyo nipaa ushindi wangu
Siogopi siogopi siogopi siogopi
Siogopi siogopi siogopi siogopi

I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid

Nimepewa maamlaka siogopi nge na nyoka
Nitawakanyaga vichwa vyao 
Hazitanidhuru sumu zao
Yaani maneno yao

Siogopi kutembea kwenye giza
Maana mi ni nuru mi naangaza
Siogopi kusimama juu ya mlima
Maana najua siwezi sitirika

Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Ili nisimame niwe imaara
Niwe kinaara

Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Niwe hodari niwe jasiri
Niwe kamili

Siogopi, ooh ooh ooh
Siogopi, ooh ooh ooh
Siogopi, ooh ooh ooh
Siogopi, ooh ooh ooh

Siogopi, ooh ooh ooh
Mungu yuko nami, Ooh ooh ooh
Siogopi, Ooh ooh ooh
Siogopi, ooh ooh ooh

I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid
I’m not afraid, I’m not afraid

Siogopi, Mungu uko na mimi
Mungu uko na mimi, Mungu uko na mimi
Hee siogopi, Baba uko na mimi
Baba uko na mimi, na mimi na mimi