DOWNLOAD UMEZUNGUKWA NA SIFA BY PAUL CLEMENT - MP3, MP4 & LYRICS

Title Umezungukwa na Sifa
Artists Paul Clement
Genres Gospel
Country Tanzania

Umezungukwa na Sifa Lyrics

Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni

Duniani twakusifu
Na mbinguni twakusifu
Mungu umezungukwa na sifa

Duniani twakusifu
Na mbinguni twakusifu
Mungu umezungukwa na sifa

Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa
Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa

Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni

Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni
Mungu umezungukwa na sifa
Duniani na mbinguni

Duniani twakusifu
Na mbinguni twakusifu
Mungu umezungukwa na sifa

Duniani twakusifu
Na mbinguni twakusifu
Mungu umezungukwa na sifa

Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa
Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa

Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa
Hallelujah Hallelujah
Umezungukwa na sifa

Wenye uhai wanne
Wamekuzunguka pande zote
Wakisema Mtakatifu ni wewe

Wakipanga sauti zao
Kwa nguvu bila kuchoka
Wakisema Mtakatifu ni wewe

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe

Ni wewe, ni wewe (Wakuabudiwa)
Ni wewe, ni wewe (Wa kupewa sifa)
Ni wewe, ni wewe (Eeeh)
Ni wewe, ni wewe (Ni wewe Bwana mengi yako)
Ni wewe, ni wewe (Mungu wa miungu Bwana)

Ni wewe, ni wewe (Bwana wa mabwana)
Ni wewe, ni wewe (Mfalme wa wafalme)
Ni wewe, ni wewe (Nani mwingine kama wewe Bwana)
Ni wewe, ni wewe (Wa kupewa sifa Bwana)
Ni wewe, ni wewe (Wewe ni Mungu mwenye nguvu Bwana)

Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe