DOWNLOAD PONKY - MP3, MP4 & LYRICS

Title Ponky
Artists
Genres Afropop
Country Kenya

Ponky Lyrics

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi

Ngaji iko sawa, siishi vibaya
Suti ni ya pawa, mahits ka kawa
Sushi kejani na chef, ngoja ucheki my shower
Mi huitwa everready, namuita paka power

Nimejaziwa kikombe
Manze na sioni compe
Mashori kwa box ka Conje
Mwenye wivu monkey wajinyonge

Ganji ni bei, mbogi pamoja
Kenye nasay hakuna kitu nakosa

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi

Kuna dem nampenda Whatsapps nimelenga
Hii ni mistari za CEO sinanga time kutext back
Nairobi kwa bega kinyozi wa mine anaweza
Sileti kiti kote ball meza nishaijenga

Hamnitishi hamnibabaishi
Hamwezi shika form hii maisha ninayoishi
Hamwezi tokelea si mko Twitter busy
Endelea na makelele mi nitarun the city

Ganji ni bei, mbogi pamoja
Kenye nasay hakuna kitu nakosa

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi

Pickie pickie picki ponky
Nabeba wote combi
Na kwa mtaa wametii
Niko juu kama nyora fosi