DOWNLOAD WAPO (COVER) KWAKO BY PRECIOUS ERNEST - MP3, MP4 & LYRICS

Title Wapo (Cover) Kwako
Artists Precious Ernest
Genres Gospel
Country Tanzania

Wapo (Cover) Kwako Lyrics

Shetani nani ajitutumue
Hii dunia sio makazi
Kalisome neno likufungue
Hadi nishindwe kufanya kazi

Mama alisema mtoto wangu mie
Maisha salama kazi
Na muongo shetani hata aniue
Nishasamehe Mungu ni mpaji

Wengi waficha makucha
Mengine tunayaona
Fungeni mikono tuombe
Lwa imani tutairuka siku

Ukiyaficha makucha
Sidhani kama utapona
Kwa Mungu wote tuombee
Hii vita ni mchana na usiku

Oooh hivyo viatu
Ukitamani uzima wa milele
Ukipata majaribu
We shindana nayo

Oooh ati kila kitu, vua viatu
Ukitamani uzima wa milele
Ukipata majaribu
We shindana nayo

Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Nizidi imani na akili
Uvumilivu na ujuzi

Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kuamka salama ni siri
Nawe ndo Mungu mwenyezi

Dear Lord, kwako
Iyeiye iye, kwako
Kesho ni ngumu kuiona, kwako
Kwako najiweka nifanikiwe

Kwako
Mungu baba we ni mwema, kwako
Fikra zako nazisema, kwako
Kwako najiweka nifanikiwe
My Lord mmmh

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Wazazi mtupende watoto wenu
Ni zawadi kwenu

Oooh hivyo viatu
Ukitamani uzima wa milele
Ukipata majaribu
We shindana nayo

Oooh ati kila kitu, vua viatu
Ukitamani uzima wa milele
Ukipata majaribu
We shindana nayo

Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Nizidi imani na akili
Uvumilivu na ujuzi

Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kuamka salama ni siri
Nawe ndo Mungu mwenyezi

Dear Lord, kwako
Iyeiye iye, kwako
Kesho ni ngumu kuiona, kwako
Kwako najiweka nifanikiwe

Kwako
Mungu baba we ni mwema, kwako
Fikra zako nazisema, kwako
Kwako najiweka nifanikiwe
My Lord mmmh

Special message to everyone
It's your time now
To believe in God
No matter what they say
Stay strong, stay positive
Live your dream believe in God
He is the one, only one
Thank You Lord